Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.

Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Hiyo ni haki yao ya kikatiba. Na wewe una haki ya kutowasikiliza.
 
Kwanini hamko tayari kwa ushindani wa uchaguzi? Kila kitu mnakimiliki nyinyi lakni bado mnawaengua wapinzani bila ya sababu ya msingi kwa sababu mnajua bila ya hivyo hamtoboi.

Angalia huyo ni mwanaccm alichokifanya nikipi ambacho mnakilalamikia kwa wapinzani?View attachment 3149911
Gentleman,
una mbwelambwela hapa wakati uchaguzi ni keshokutwa November 27,2024?🤣
 
CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.

Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Kweli ni wapuuzi haswa
 
Back
Top Bottom