tumechoka muda wote ajira ajira! kalimeni

tumechoka muda wote ajira ajira! kalimeni

malivawan10

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
541
Reaction score
310
Kila thread ooooooh ajira tumechoka sie wengine tunamambo mengine - fanyeni mengine na kumbuka hakuna chama kinakachowakomboa pasipokuwepo na revolution hapa tanzania
Mambo yote mbele kwa mbele ! Kidole kimoja hakivunji chawa
 
Siku ya harusi hatuwezi ongelea msiba

Siku ya mechi ya yanga na simba hatuwezi ongelea mechi ya jtk ruvu na mgambo

Ila walimu tuwe wavumilivu JKT haijatusaidia jamani
 
Utawaambiaje wakalime wakati hamkuwafundisha kulima? Kutoka kindergarten mpaka form four ni academics tu.

We wa wapi? Kwani umekula maharage ya wapi wewe!! Umerogwa na nani wewe!!!
 
Siku ya harusi hatuwezi ongelea msiba

Siku ya mechi ya yanga na simba hatuwezi ongelea mechi ya jtk ruvu na mgambo

Ila walimu tuwe wavumilivu JKT haijatusaidia jamani
Kuna mambo mengi ya kuongelewa eeeeeh tangia mwaka jana mpaka leo ? Yaaaan mtu unakuwa haujajitambua kuwa inabid ujiajir hata kwa kaz ndogo na sio kuajiriwa _
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
Utawaambiaje wakalime wakati hamkuwafundisha kulima? Kutoka kindergarten mpaka form four ni academics tu.

We wa wapi? Kwani umekula maharage ya wapi wewe!! Umerogwa na nani wewe!!!

Aaaaaah kweli wewe inaonyesha ni mwalimu unataka ajira ? Una mawazo mpaka bhasi pole ndugu
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
Hahahhahahahahahhahahahahahahahahahahhahaahahahahahahah -jiajir bhana sukuma hata mikokoteni
 
Aaaaaah kweli wewe inaonyesha ni mwalimu unataka ajira ? Una mawazo mpaka bhasi pole ndugu

Kuna vitu tunataka tukafanye kwenye uchaguzi mkuu, kama unaweza tukutanishe na mwigulu manake huyo ni mtu wa madili, tukikubaliana tunaweza hata kubeba kura kwenye majaketi ili mradi mambo yawekwe sawa.

Umeionaje hiyo kiongozi
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.
 
Kuna vitu tunataka tukafanye kwenye uchaguzi mkuu, kama unaweza tukutanishe na mwigulu manake huyo ni mtu wa madili, tukikubaliana tunaweza hata kubeba kura kwenye majaketi ili mradi mambo yawekwe sawa.

Umeionaje hiyo kiongozi

Tanzania ilishauzwa ? We haujui hilo hauoni jinsi beuracracy haina power marxist wanasema tatizo ni mfumo wa kipebali tabaka tawala ni chombo cha mapebari na sio wakulima na wafanyakazi -kama umenipata hapo wanasiasa weng wanatumika na mapebali wanamaslahi katika kila kitu wanachofanya_ mwigulu anajitahidi kujitutumua
 
Where is mwigulu ? Yeye yule anajitahid kutoa matamko ambayo yanamatumaini sio hawa wengineeeee sijui wakina nan halafu wanataka nchi ? Kwan ya bibi yao hadi wanataka halafu hawawez ! Mfano suma
 
Chadema wakichukua nchi , kila mtu atakua na pesa za kutosha Bank, gari kali ya kutembelea, nyumba ya gorofa na tripu za ulaya kila mwaka.
 
Hivi kwani kuna mtu anafundishwa kulima?,then waalimu kwa tabia hii mnaendelea kuifanya kuwa fani ya watu wasio na upeo wa kufkri,mmeshaambia ajira leo zinatoka,imekuwa kelele kila kona,hivi leo inaisha saa ngapi,hembu ipeni hii fani heshma yake kwa kuwa na uwezo wa kufkri.
 
ndg viongoz walikuwa ni akina mandela, nyerere na wengine wa namna hiyo lkn leo????????!!!!!!!!!!!!! Hawa wamezoea kuchokonolewa au janga ndo wachukue hatua
 
Chadema wakichukua nchi , kila mtu atakua na pesa za kutosha Bank, gari kali ya kutembelea, nyumba ya gorofa na tripu za ulaya kila mwaka.

Teh teh reh.
Ruzuku tu za vyama kutoka serikalini wanafuja, vipi matilioni ya bajeti!!!
 
Kuna mambo mengi ya kuongelewa eeeeeh tangia mwaka jana mpaka leo ? Yaaaan mtu unakuwa haujajitambua kuwa inabid ujiajir hata kwa kaz ndogo na sio kuajiriwa _

Mkuu hawa hawajielewi yaani.
 
Teh teh reh.
Ruzuku tu za vyama kutoka serikalini wanafuja, vipi matilioni ya bajeti!!!

Chadema watatusaidia, kukuza biashara zetu, mfano nyumba za kupanga, kuongeza bajeti ya bia, nyumba ndogo n.k, subiri tushinde oktoba,
 
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2...

2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2

3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
 
kila jambo na wakati wake na huu ni wakat wa ajira za ualim so acheni tuongee tu....
 
Back
Top Bottom