Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea kama watoto wa darasa la kwanza – and we sittin’ here acting cool? HELL NO!
Tuna wabunge wanaojiita “waheshimiwa” lakini they ain’t sh*t for real – watu wa hovyo, hakuna logic, hakuna stance, hawana vision hata ya wiki moja mbele. Wengine wameingia bungeni kwa kubebwa kama mfuko wa cement, si kwa kura za watu bali connections za kichochoro.
Wako pale ku-push vibes, si hoja. Bunge limekuwa kama damn comedy show – one full of jokers wakivaa suti lakini kichwani ni sawasawa na dustbin.
Wanakuja kusinzia, kupiga makofi za kuunga mkono nonsense, halafu wanarudi kusaka per diem na safari za mapema.
Meanwhile, mtaani kuna fire – watu wanakufa njaa, hawana kazi, vijana wako kwa corner wakikata tamaa, but those so-called leaders don’t give a damn.
All they care about is status, fat pockets and showin’ off like some Instagram clowns.
Tanzania tunahitaji wake-up call ya kifo! Enough of these fakin' leaders, enough of this fake-ass system!
Tumechoka kuambiwa “kuwa na subira” wakati wale wanaopaswa kutusaidia wako busy wakigawana keki ya taifa.
This ain’t leadership – this is robbery in daylight, na tunaangalia tu kama cartoons.
Basi! Hii generation yetu sio ya kunyamaza. Tunahitaji watu wenye backbone, wenye balls za kusimamia ukweli, sio hawa puppet leaders waliojaa kwenye system kama virusi.
Ni muda wa kusema: Fix this damn system or we shut the whole thing down. Period!