PreGE2025 Tumechoka na huu mfumo, Bunge limejaa vichwa feki, nchi inateketea!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bunge limebaki sehemu ya kupigia mpunga na kusifu..
 
Kuna wachangiaji humu eti wanamkanya mtoa mada utadhani ameongea nadharia kumbe ndio uhalisia tunouishi hapa kwetu. Kusema kweli yuko sahihi kwa asilimia zaidi ya 95%.
 
Kwanza kuna haja gani ya kuwa na wawakilishi zaid ya 360 ndani ya bunge ambapo ikitolewa hoja, wachangiaji hawafiki hata 20? Ni upotevu wa rasilimali pesa na muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…