Jamani wadau na wanajamvi wote naomba tuwekane sawa humu.
Hali ni mbaya sana kwa vijana wa vyuo vikuu walio field na wiki ya tatu imeisha jana bila dalili zozote za kupata hela. CCM na serikali yenu wekeni mambo hadharani kama nchi imefilisika au la, na kama sio ni kitu gani kinakwamisha hazina kupeleka hela Heslb kwa ajili ya malipo yetu.
Naomba mtambue umuhimu wa elimu na tunashangaa mnakazana kutangaza bunge la katiba linaanza tarehe 5 na kwa kutambua kwamba mnaenda kuwalipa watu 300,000 lakini sisi wa elfu kumi kwa siku mmekosa hela? Ububu wa waziri wa elimu ndio naanza kuamini zile kashfa za mawaziri mizigo.
TUSAIDIENI KUWAPIGIA KELELE HAWA WATU JAMANI: