Tumedhalilika vya Kutosha Heslb vs Hazina

Tumedhalilika vya Kutosha Heslb vs Hazina

Majanga90

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
77
Reaction score
12
Jamani wadau na wanajamvi wote naomba tuwekane sawa humu.

Hali ni mbaya sana kwa vijana wa vyuo vikuu walio field na wiki ya tatu imeisha jana bila dalili zozote za kupata hela. CCM na serikali yenu wekeni mambo hadharani kama nchi imefilisika au la, na kama sio ni kitu gani kinakwamisha hazina kupeleka hela Heslb kwa ajili ya malipo yetu.

Naomba mtambue umuhimu wa elimu na tunashangaa mnakazana kutangaza bunge la katiba linaanza tarehe 5 na kwa kutambua kwamba mnaenda kuwalipa watu 300,000 lakini sisi wa elfu kumi kwa siku mmekosa hela? Ububu wa waziri wa elimu ndio naanza kuamini zile kashfa za mawaziri mizigo.

TUSAIDIENI KUWAPIGIA KELELE HAWA WATU JAMANI:
 
Hahahahahahaha! Dogo acha njaa hela ya bando umepata wapi?#joke.
Lkn serikali jnafikilia nn kuwapeleka watu mazoezini bila kuwapa hela yao?
 
Hahahahahahaha! Dogo acha njaa hela ya bando umepata wapi?#joke.
Lkn serikali jnafikilia nn kuwapeleka watu mazoezini bila kuwapa hela yao?

Mwanzo tulipendekeza kama hamna hela watu waahirishe course but serikali ikakomaa ikasima itakuwa aibu kwao wakatudanganya tuende hela zitatoka but imekuwa majanga
 
ccm inaua elimu huku ikisema ina mpango wa matokeo makubwa sasa
 
lakin kama kigezo ni serkali haina hela hizi pesa za field si zilitengwa kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kuna nn hapo au kuna ufisadi umefanyaika hapo?
 
lakin kama kigezo ni serkali haina hela hizi pesa za field si zilitengwa kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kuna nn hapo au kuna ufisadi umefanyaika hapo?

Ile ni makadilio ya budget tu, pesa ndio mpaka wakusanye, na wakikusanya hawatumii kama budget inavyosema, mabilioni waliyapeleka kwenye DENGUE
 
lakin kama kigezo ni serkali haina hela hizi pesa za field si zilitengwa kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kuna nn hapo au kuna ufisadi umefanyaika hapo?

Kweli mkuu hizi ni hela za budget ya mwaka jana but nashangaa imekuwaje mpaka mwaka mpya wa pesa umeanza kuzitoa imekuwa nongwa
 
ccm inaua elimu huku ikisema ina mpango wa matokeo makubwa sasa

Mabilion ya vitambulisho vya kura yalitoka hazina bila hata kuwa kwenye budget ya serikali lakini za kufinance elimu imekuwa shida kutoka hazina kwenda Heslb
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa,udhaifu wa chama na wizara,KUMBUKENI KUMEKUCHA MMETUDANGANYA SANA MIAKA MINGI BUT 2015 HATUTANGANYIKA,LALENI HERI SISI TULALE HOI ILA NINYI NI BINADAMU TU,kusema ukweli tumeteseka shule iko mbali,hata hela ya chai,kulipa bili,MTARUDI HUKU MWAKANI KUOMBA KULA?
 
lakin jambo la kushanganza tahliso ambayo ni taasisi ya kutetea wanafunzi iko kimya kana kwamba sio tatizo kwao mbona tunasikia sana wakitoa matamko ya siasa mara wanamuunga mgombea fulan wa urais?

taasisi kama hizi ndo zingekuwa zinaishauri serikali nn cha kufanya kuhusu hili swala na kuwambia wanafunzi wafanye nn kama kukopa hela mwanafunzi afanye mapema
 
Hamna ki2 wale ni sisiemu daima,hayupo hata mmoja wa kusema ukweli.
 
lakin jambo la kushanganza tahliso ambayo ni taasisi ya kutetea wanafunzi iko kimya kana kwamba sio tatizo kwao mbona tunasikia sana wakitoa matamko ya siasa mara wanamuunga mgombea fulan wa urais?

taasisi kama hizi ndo zingekuwa zinaishauri serikali nn cha kufanya kuhusu hili swala na kuwambia wanafunzi wafanye nn kama kukopa hela mwanafunzi afanye mapema

Tahiliso wamekuwa waoga sana kusimamia haki zetu kuna hoja imezuka hawa jamaa tukifungua vyuo wao na marasis wote wajitathmini kama wanastahili kuendelea kukaa madarakani aisee maana wamekuwa waoga sana, au kuna mlungula wamepata?
 
Nchi yetu kila kitu ulaghai, ila wajue mwisho upo, unyamagani huu! kupeleka wa2 kazi wakati huwezi kuwalipa? SiSiEM?
 
Vyombo vya habari kimya! Kazi kureport music 2,angalien pia taasisi mhimu kama vyuo na shule,fikeni huko mpate madhila tunayopitia.
 
Tahiliso wamekuwa waoga sana kusimamia haki zetu kuna hoja imezuka hawa jamaa tukifungua vyuo wao na marasis wote wajitathmini kama wanastahili kuendelea kukaa madarakani aisee maana wamekuwa waoga sana, au kuna mlungula wamepata?

mkuu tatizo hapa ni ccm kuamua kuingiza siasa katika vyuo
 
Vyombo vya habari kimya! Kazi kureport music 2,angalien pia taasisi mhimu kama vyuo na shule,fikeni huko mpate madhila tunayopitia.

Wanasuburi tukishapigwa mabomu ndio waanze kureport
 
Budget ikipangwa haimaanishi hizo pesa zipo.., ni mpaka wazikusanye na wasipokusanya za kutosha au zikielekezwa nje ya budget matokeo yake ndio haya..
 
Back
Top Bottom