Tumedhulumiwa jamani, CHAN 2018 yanyang'anywa Kenya!

can you read the article??? coz i cant ......
Kwa upi Oman kuna masharti wameambatanisha katika huo mkopo yanayohusu matumizi na uendeshaji wa bandari kwa miaka ya kwanza hadi mkopo utakaporudi, kama mlivyowakubalia wachina kuendesha SGR yano, sisi hilo sharti tunalikataa, na huenda hiyo pesa Magufuli asiichukue, Tanzania knows what it want
 
heheee..jirekebishe mwenyewe tu..naona utajikanganya hadi mwisho na hizo links zako mwenyewe..yenye umeipatiana mpaka ulipie
Nidhani hadi hapo umeona ni kwa jinsi gani Tanzania inavyojiendesha, hata wakati wa kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika, uingereza iliweka masharti, tukawafukuza na ubalozi tukafunga
 
okay wacha nikubaliane na unayosema ubishi uishe
 
Naomba nipe list ya hivo viwanja vitano
 
Sawa but tz ni moja pekee yenye standards za CAF...NATIONAL STADIUM PEKEE.
In that case Kenya hamna kabisa... mnaviwanja vya kufanya gwaride tu na kiwanja cha Mbuzi. Poleni kwa Kujifedhesha na kujidhalilisha.. mmejambia majivu
 
Hivi kwanini wakenya wanapenda sana english? Au wanahis kujua english ni kipimo cha uelewa? So sad..
 
Hivi kwanini wakenya wanapenda sana english? Au wanahis kujua english ni kipimo cha uelewa? So sad..
ni mazingira tuliyokuzwa nayo mkuu..mna tujudge sana but ungekulia huku kwetu pia wewe ungekuwa hivyo..unafunzwa kwa kiingereza masomo yote na hata unatakikana uongee kiingereza ukiwa maeneo ya shule..at the end of the day unajipata tu uko comfortable kucommunicate kwa kiingereza zaidi ya kiswahili
 
Naomba nipe list ya hivo viwanja vitano
-National Stadium
-Uhuru stadium
-Azam complex
-CCM Kirumba
-Amaan Stadium
NB: Azam complex ndiyo Chamanzi.Sheikh Amri Abeid, Sokoine, Jamhuri, Ali hassan Mwinyi, Kambarage vikifanyiwa marekebisho vita qualify.
 
hapo unasema kitu kinaleta maana.sasa kwanini msibadili hio system.huoni kama hio ni part of bondage
 
Safi... ssa vtu kma hivi wanataka kufananisha na Uwanja wa mbuzi [emoji1] . wasisahau huo uko Certified na CAF. Kuna mwingine uko Pemba
Alafu eti wanauita uwanja wa kisasa, tena kwenye media!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
-National Stadium
-Uhuru stadium
-Azam complex
-CCM Kirumba
-Amaan Stadium
NB: Azam complex ndiyo Chamanzi.Sheikh Amri Abeid, Sokoine, Jamhuri, Ali hassan Mwinyi, Kambarage vikifanyiwa marekebisho vita qualify.
Sawa mkuu.sasa kama ccm kirumba imequalify kwanini kenya wameshindwa kuandaa? Hivo unataka sema kenya hawana viwanja vyenye lower standard kama cha ccm kirumba?
 
Sawa mkuu.sasa kama ccm kirumba imequalify kwanini kenya wameshindwa kuandaa? Hivo unataka sema kenya hawana viwanja vyenye lower standard kama cha ccm kirumba?
Kwa kua wapo hapa wataku jibu.. ila CAF walivyo wakagua mwezi uliopita waka kuta kiwanja chao kimoja tu ndio kina vigezo.
 
subiri ngoja tu, utasikia wanamlaumu Baba......
Mbona asilaumiwe? He has raised political temperatures to the point that Kenyans have taken their eyes off the economy ,sports and he even wanted schools to delay opening.
 
Huwa sipendi malumbano ya Dar-Nairobi... Kwa maana ya kusonga mbele... Kenya wako mbali sana... ila kwenye soka japo wana nyota wengi kimataifa lakini hawana moyo wa soka. Nenda uwanjani wakicheza timu kubwa... ni kama mtibwa vs MajiMaji
 
Kenya hawajawahi shindwa kwenye Makaratasi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…