Uwezo una ingia sana.. kwa mfano waki wanyang'anya wana tafuta nchi nyingine ambayo ina uwezo tayari e.g SA, Moroc, etc. Issue kwenu siyo Hotels, transportation, wala political will tatizo ni Viwanja tu! Mnasemaga TZ mmetuzidi. Ila Tz haijawah kuomba ku host hivyo vtu kabla ya mwaka juzi. Ila as we speak TZ kuna viwanja vitano vinavyo tambuliwa na CAF na vina host international matches.
Kwahiyo leo kama TFF na serikali wakafanya maombi ku host hyo CHAN wakaguzi wakija watakuja kunywa chai tu!! [emoji1]