Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wema unaanzia nyumbani. Hapa EA tumekumbwa na majanga huko Rwanda na East DRC. Watu wamepoteza maisha na makazi. Tumepeleka msaada wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema unaanzia nyumbani. Hapa EA tumekumbwa na majanga huko Rwanda na East DRC. Watu wamepoteza maisha na makazi. Tumepeleka msaada wowote?
DRC tuekuwa tukiwasaidia mara kwa mara kuanzia kupambana na waasi wao ili wakae kwa amani. Tunapitisha mizigo yao katika bandari na barabara zetu with discounted rate. Tunawauzia mahindi, mchele n.k. Tumefungua soko kabisa la mazao pale Lubumbashi.Tunasaidia Ukraine ili wazungu watuone watupe misaada sisi ombaomba.
DRC wanaweza kutusaidia nini?
Unakuta wamekata miti yote vilima vimebaki upara hakuna miti ya kushikilia layer ya juuIla daa wakati mwingine unaweza kumkufuru Mungu,mbona kila janga ni letu tu?hakuna wengine huko??sasa kidogo wamepumzika M23, mapolomoko hayo!!!ila kwa DRC ni kawaida sana kwani kuna nyanda za milima mirefu sana,kwa chini ndipo watu wanaishi!!kuna mwaka fulani pale SUD KIVU(UVIRA) watu walifukiwa hadi leo ulienda huwezi jua kama kulikuwa na nyumba hapo!!
Ni hatari sana!!na vilima vya huko ni vile ambavyo havina miti ni udongo tupu,na wanalima huko juu!!Unakuta wamekata miti yote vilima vimebaki upara hakuna miti ya kushikilia layer ya juu