Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Habari wadau!
Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa).
Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom ni kitu tofauti?
Kama ni kondom kwa maqna ya condom ya kutukinga na maradhi(HIV), ni sahihi kuadhimisha/kusherehekea siku ya kondom duniani?
Nimeona hilo bango asubuhi ya leo.ila mpaka sasa bado natafakari uhalali wa hili jambo.
Labda niulize, Zanzibar wanaweza kuwa na bango kama hili barabarani?
Kesho tukikuta bango la kuhamasisha ushoga, tutashangaa?
Maswali ni mengi kuliko majibu.