Tumefikaje Hapa?

 
niharakishe kuna nini hapa ? miti ya pesa au ya dhahabu ?
jibu ni STRESS. na sidhani kama kuna mtu yupo willing kuwahi kukimbilia STRESS.

adios, baadae !
 
sidhani kama unaweza kukaa muda huo wote.. utakuwa unapata msosi huku unafikiria how many threads have passed you by..
 
YOU ARE DEAD WRONG !!eehh, kumbe wee unakaa kufikiria ninachofikiria ! basi nitaweka ubongo wangu on hold ili ufikirie on my behalf !
 
hadi hivi sasa bado upo.. it proves my point.. anyway carry on. Mada inaendelea.
 
 
YOU ARE DEAD WRONG !!eehh, kumbe wee unakaa kufikiria ninachofikiria ! basi nitaweka ubongo wangu on hold ili ufikirie on my behalf !

Dang Kada...wakati mwingine unanifurahisha na hivi vi-smart-alec comebacks vyako...
 
Mmwanakijiji,

Nitakuja kutoa mawazo yangu kuhusu mada hii nikipata nafasi. Ni swali zuri sana na ningependa nisome maoni ya wengine kabla sijamwaga yangu ingawa muda nao umekuwa unaninyanyasa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…