mbali na mifano mliyotoa hapo juu, vile vile hapa JF nyie mpo hapa kwa ajili ya politics (NA MTAHARIBU TU KAMA KEENJA)( na itawafikisha pabaya *kama mlivyosema), wengi hushinda humu na ninaamini kama kila member angekuwa kwenye sector fulani, basi each angeweza kutoa magunia 20 ya mpunga kwa wiki na kulisha raia tanzania !
tusiseme waliopo bongo, na sie tuliomo JF je ???????????
right point at the right time,but inataka maelezo zaidi kidogo.nachukia sana kuona kwamba vigezo vya kuongoza tanzania ni lazima uwe mwanasiasa.nimependa signature ya mzalendohalisi,kwani nadhani umefika wakati tubadilishe vigezo vya uongozi.inabidi tumpekue kiongozi kutokana na uadilifu wake mitaani,huruma zake,kujali kwake. na sisi tumuombe yeye agombee sio yeye aje aombe kura.tunao uwezo wa kumsaka na kumpata japo mtaona kwamba mawazo yangu hayaendani na wakati lakini beleive me. kwa wanasiasa wa kibongo we r just wasting our time.hakuna kikwete wala mbowe wala zitto wala karume wala seifu.wapo waadilifu wengi ndani ya taifa letu lakini akili zetu zimedumaishwa na siasa.naamini tutafika pabaya zaidi ya hapa. siasa ni mchezo mchafu ila wanaoelewa ni wachache.uadilifu ni kitu muhimu sana ,hata kama nchi ikiwa maskini lakini kama kiongozi ni mwadilifu basi raia wanakuwa na furaha kwani hawaoni matabaka katika taifa lao hivyo uchoyo unaondoka na imani inaongezeka.tubadilisheni vigezo vya kuchagua viongozi.
hayo ndio maoni yangu au kwa lugha nyengine "porojo langu"