SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani.
Nikasema mmmh, hii ni kawaida au tumeanza sera mpya ya kupigana pini wengine tusichangie nyuzi za utopolo, wahudumu wa GSM?
Mpaka sasa uzi wa mechi hii hauonekani katika timeline yangu. Au hii ni dozi mapya ya kina Mzee Mpili inafunika nyuzi wasio mashabiki wa uto hawazioni?
Juzijuzi pia kuna mechi moja ya Yanga nilishangaa sikuona uzi wake hadi karibia na mechi. Niilipoanzisha uzi ndiyo ghafla ukaibuka ingawa aliyeanzisha na mimi tulipishana kama dakika 2 tu. Ila hii ya leo ni kali zaidi maana uzi hauonekani na mechi imeshaisha.