SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Dec 23, 2024 Thread starter #21 Tate Mkuu said: Haya ufute uzi wako sasa. Si majibu umeshayapata? Click to expand... Hili liwe somo, siyo kila mtu aanzishe nyuzi. Wengine mbaki wapenzi wasomaji
Tate Mkuu said: Haya ufute uzi wako sasa. Si majibu umeshayapata? Click to expand... Hili liwe somo, siyo kila mtu aanzishe nyuzi. Wengine mbaki wapenzi wasomaji
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Dec 23, 2024 #22 SAYVILLE said: Msimu huu watakufwa sana kwa msongo wa mawazo Click to expand... TFF watupange na hawa kenge tumalizane nao mapemaaa,Tuchukue kikombe chetu.
SAYVILLE said: Msimu huu watakufwa sana kwa msongo wa mawazo Click to expand... TFF watupange na hawa kenge tumalizane nao mapemaaa,Tuchukue kikombe chetu.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Dec 23, 2024 Thread starter #23 The Legacy said: TFF watupange na hawa kenge tumalizane nao mapemaaa,Tuchukue kikombe chetu. Click to expand... Inabidi mwezi wa 3 tuwe tunafunga mahesabu
The Legacy said: TFF watupange na hawa kenge tumalizane nao mapemaaa,Tuchukue kikombe chetu. Click to expand... Inabidi mwezi wa 3 tuwe tunafunga mahesabu