π₯ pole wifi, watu wanaona km mzaha huo ugonjwa.!!Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....ππ
Kamuanzishie dawa haraka kabla hamjamuua bwana mdogo kwa conspiracy zenu za kitotoMpeni lishe nzuri
Nina ndugu yangu ana miaka 25 , hamezi mbaazi yeye amezingatia lishe na mazoez .
Mkuu naandaa mwaliko rasmi will get back to youNikaribishe hapo kijiweni walau nije na tembe moja moja kwa kila afisa usafirishaji ili muweze kuona Kama mtaweza kuhimili kumeza maharagwe mpaka mwisho wa maisha yenu.
Ni Wa Kawaida kama hauna, Ila ukisha upata tu unakua sio wa kawaida.Wadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
Mkuu hakuna daktari wala nesi ila wajuaji kutokana na uzoefu kimaishaMadaktari ndo wana majibu sahihi ya hii mada
Au hapo kijiweni kwenu kuna daktari?
Miaka 25 umri alionao au miaka aliyoishi na HIV?Mpeni lishe nzuri
Nina ndugu yangu ana miaka 25 , hamezi mbaazi yeye amezingatia lishe na mazoez .
yaani vikimuibukia anasahaulika ndani ya sekundeKamuanzishie dawa haraka kabla hamjamuua bwana mdogo kwa conspiracy zenu za kitoto
Upate kwanza ndio uje utoe shuhuda, ukimwi is not a jokeWadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
ππππKuna wajinga wataumia kwa uzi huu
Lakini anaishi na MawazoMpeni lishe nzuri
Nina ndugu yangu ana miaka 25 , hamezi mbaazi yeye amezingatia lishe na mazoez .
Yaani katika vitu sio vya kufanyia masihara ni UKIMWI.Utakufa vibaya wewe nakuhurumia
Kama alikuwa bikra, Aliambukizwa au alizaliwa nao?Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....ππ
Ngoma isikie tu mitandaoni isiwe kwako wala kwa Mwanafamilia wako.Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....ππ
Huu ugonjwa asiye ujua vizuri, atakuwa anamengi ya kuropoka,...... UKIMWI ni moto wa kuotea mbali kabisa, kama wewe ni mzima chukua TAHADHARI,...ββJidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....ππ