Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😥 pole wifi, watu wanaona km mzaha huo ugonjwa.!!Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....😭😭
Mungu awatie nguvu na amponye mgonjwa..!!