🤣🤣🤣 DaaCheki huyu 🤣🤣🤣🤣
Wataachaje wakati nyie hakuna hatari yoyote mliyotengenezaTimu imeongeza kujiamini na inacheza bila hofu ugenini. Hii ni tofauti na zamani. Pia timu inaonekana kuwa na mipango (with and without balls). Mapungufu ya aerial balls ni janga la dunia nzima lkn Mwl ataangalia namna ya kupunguza madhara yake.
Hawa jamaa kwa Mkapa wataacha pointi zote tatu
Yule ambaye akibanwa kidogo lazima apanic na kupewa njano BM3 yupi???Angekuwepo BM3 tungeshinda hii mechi. Trust me
Tusiilamu timu hapa mwalimu.akafayie kazi eneo la kukaba wachezaji warefu. Yanga amefungwa lakini nawapongeza. Siyo Kama Jana hatuuoni Mpira tunaona pu pu tu Tumefugwa lakini burudiani yetu mmeiona. Mngepangiwa wale Waarabu kungkekuwa na 5+apungufu
Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibitiHahaha Yanga aisee hamuishiwagi vituko. Ehe, kwa hiyo hawa kwa Mkapa hawatoki siyo? Hawa jamaa wangetaka kuwapiga hata 4 leo wangeweza.
Kwani hiki kikosi ninachozungumza kimekuwepo tangu mwaka ani?Mara ya mwisho kushinda kwa mkapa ilikuwa mwaka gani,?
Hawa wapo mashindano ya waliofeli, walioshindwa kwenye Champions league na kushushwa ndio mmecheza nao halafu waifunge Simba iliyopo kwenye Champions league?Tusiilamu timu hapa mwalimu.akafayie kazi eneo la kukaba wachezaji warefu. Yanga amefungwa lakini nawapongeza. Siyo Kama Jana hatuuoni Mpira tunaona pu pu tu Tumefugwa lakini burudiani yetu mmeiona. Mngepangiwa wale Waarabu kungkekuwa na 5+
SawaHahaha Yanga aisee hamuishiwagi vituko. Ehe, kwa hiyo hawa kwa Mkapa hawatoki siyo? Hawa jamaa wangetaka kuwapiga hata 4 leo wangeweza.