Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibiti
Hahah. Mistakes gani hizo zimefanyika? Magoli yale unaita mistakes? Na Horoya anaingiaje hapa?
 
kwanini hawajiamini litimu limejaza wachezaji wageni tupu, wa huko nje bado hawajiamini sasa wakazi gani?, wanasajiliwa kwa nini. Simba na yangu wanaaibisha mpira wa tanzania..ni mitimu ya siasa tu maneno meeeengi wakitoka nje hakuna kitu miguuni....hovyo kabisa, bora waje akina singida na wengine tuwaone nao kama wataiga tabia za kipuuzi kama za hizi timu mbili😕
Mmmmmh
 
Hizo timu zingine zimeshindwa nini kufika huko?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niambie hata ichi kilichopo mara ya mwisho kushinda kwa mkapa hata mechi ya kirafiki tu ilikuwa mwaka gani?
Si ndo nimesema wameimarika recently? Au huelewi?
 
FB_IMG_1676227431229.jpg
 
Back
Top Bottom