Tumefungwa lakini maturity level ya wachezaji imeongezeka

Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibiti
Hahah. Mistakes gani hizo zimefanyika? Magoli yale unaita mistakes? Na Horoya anaingiaje hapa?
 
Mmmmmh
 
Hizo timu zingine zimeshindwa nini kufika huko?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niambie hata ichi kilichopo mara ya mwisho kushinda kwa mkapa hata mechi ya kirafiki tu ilikuwa mwaka gani?
Si ndo nimesema wameimarika recently? Au huelewi?
 
Wameshindwa nini sasa, kumbuka pia hawa sio horoya, Usije ukalinganisha timu uliyocheza nayo na hawa jamaa, kiufupi mistake imefanyika na wakajua namna ya kuwadhibiti
Kumbuka pia hiyo ni shirikisho. Nyinyi na mliocheza nao hakuna mnachoizidi Horoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…