Tumegombana kisa kaniomba tsh. 5000

Hivi msichana akiomba hela mbona mmefanya kuwa ni ishu kubwa...sio wote wadangaji...wengine wanashida kweli...

Shida siyo kusaidia, tatizo wanawake wengi (kama sio wote) mnakuwa mna nia mbaya mnapoomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaume waliowatongoza, mwanaume ukisaidia unaonekana fala/zoba/bwege/ATM etc.. (am talking this from experience) Donatila
 
Inategemea unamuanzaje ... kama unaanza kutongoza kitoto lazima uombwe tu pesa. Lakini ukitongoza kikubwa mnashtukia mmepeana miahadi ya kuonana .. mkiridhika kwamba mnaendana mnazama kwa room mnasaidiana yanaisha au yanaendelezwa.
Wangu wa JF najuja upo
 
Mkuu umepita mulemule nilipotaka kupita! Salute
 
Simple fanya kuongeza tena buku15 iwe 20k afu mwambie aje ghetto kuichukua ndo itakuwa vizuri....pga za hasira sku iyo pesa yako isiende bure
 
mmmh elfu5? nipe namba za huyo demu me mwwnzako napigwa mizinga ya laki /50 na wengine hata cjawah kuwapiga denda
 
upuuzi mtupu, na utakuta ni mtu mzima analeta mada zaki kitaahira.
Hawezi kuwa mtu mzima huyu! taahira kweli kweli.
Watu wazima tunawaza namna ya kuibadili Tanzania iwe sehemu nzuri ya kufurahia maisha - huyu anawaza upuuzi tu. Kweli vijana wa Dar shida.
 
Watu wanahonga meli au wilaya wewe unakuja kulia lia kisa buku 5 sasa ulitaka Uvue samaki na Ndoano Tupu, Weka chambo ndo utupe ndoano majini ukishamvua nakuweka pembeni samaki huhitaji tena chambo
 
Hawezi kuwa mtu mzima huyu! taahira kweli kweli.
Watu wazima tunawaza namna ya kuibadili Tanzania iwe sehemu nzuri ya kufurahia maisha - huyu anawaza upuuzi tu. Kweli vijana wa Dar shida.

Tahira ni ww mwenyewe, pesa yangu ulinsaidia kuitafuta? Tutor B
 
Mwanamke ganu unahitaji umpate bure?

Hivi huoni kama maisha yana gharama?
 
Tahira ni ww mwenyewe, pesa yangu ulinsaidia kuitafuta? Tutor B
Ndivyo ulivyo - unayoyawaza ndo yanayokutoka! Pole sana tahira wa jf! asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu; ulimwengu ndo hapa - tulia ukafunzwe ili uache mambo ya kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…