themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,806
- 2,830
Watu Na okoyoko ni vitu viwili tofauti..
Tonatofautiana mitazamo Na misimamo..
Sio kisha donatila anahonga milioni Na okoyoko ahonge million au buku tano yake.
Usipende kujifananisha Na watu, usipende kuoga ya watu. Tengeneza utambulisho wako. Muache okoyoko aishi kiuhalisia sio kama wengine wanavyoishi.
Any Questions?
Daaaah weee mshenzi wewe umetisha mtu wangu
Yani bundle lako unalitumia kwa haki kabisa
Kama unanamba ya m-net nicheck nikutumie ata vocha mtu wangu