Tumegombana kisa kaniomba tsh. 5000

Tumegombana kisa kaniomba tsh. 5000

Wala hatuwaoni hivyo. Sasa elfu 5 mno nikuone zoba??

Ningempa hiyo elf 5, huenda ungefuatia mzinga mwingine ulio makubwa zaidi, hlf mbaya zaidi utakuta hiyo hela angeenda kuila na mjanja mwingine ambae hamuombi hata senti, means huyo mdada angeenda kumpa hela mwanaume anaemla papuchi na tigo kiulaini tena buureeee (I've been there, done that) Mzigua90
 
MaTP ndo nini mkuu? Huyo Dada ulitakiwa umpe na block. Anakuombaje kisa amekupa Namba sasa. Kama anauza Namba si anasema tu mapema
Tp ni Tapeli mkuu.....

Siskusave yena namba yake maana niliona mti wa hivi ni hatari ata kwa usalama wangu.
 
Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Akiambiwa awe sponsor wa kuanzisha kiwanda cha biashara ndogondogo kinachotoa ajira kwa watu watano sijui itakuwaje hapo?

Ila wanawake wanaodanga hivi mwanzo mwisho mpaka sh 5,000 hela ya Chewing Gum nao watataka usawa wa binadamu au wanakubali tu kwamba wako chini ya wanaume?

Maana bora anayedanga mtaji wa biashara unaweza kusema biashara itajiendeleza ajikomboe kudanga.
 
Watu Na okoyoko ni vitu viwili tofauti..
Tonatofautiana mitazamo Na misimamo..
Sio kisha donatila anahonga milioni Na okoyoko ahonge million au buku tano yake.
Usipende kujifananisha Na watu, usipende kuoga ya watu. Tengeneza utambulisho wako. Muache okoyoko aishi kiuhalisia sio kama wengine wanavyoishi.
Any Questions?
Nakazia mkuu
 
Hivi msichana akiomba hela mbona mmefanya kuwa ni ishu kubwa...sio wote wadangaji...wengine wanashida kweli...
Anashida? Nani hana shida mkuu kama vipi akaenayo hio shida yake..halafu saa zingine kama mwanaume unajiskia tu hutaki kutoa hela sio kwamba hazipo kwenye mfuko wa shati au kwenye simu...
 
Wee kubali halafu tafuta mbinu umfikishe geto,mtumie kabisa tigo pesa 80,000/= wakati huo ukiwa mbioni kuondoa kyupi,ukishaanza kududulaizi unachukua simu kiaina unavuta muamala wako kwa kigezo kuwa umekosea kutuma,mwachie buku ya kununulia kipande cha sabuni ya jamaa
 
Hello guys

Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia denda tu kutoka kwa huyo demu

UGOMVI ULIPOANZIA
Aliniomba elf 5 kudai ana shida nayo, wakati papuchi hajawahi kunipa, kila nkimwambia aje gheto anadai yupo busy, nkamuuliza kama ananikomoa au VIPI, pia nikamwambia kuwa hajanipenda ndo maana ananiomba elf 5, akaongea kidogo, baada ya siku hiyo mpaka Leo ni wiki 3 sasa tumechuniana wakati alikuwa anapenda kuni-text kila siku.

Nakubali kwenye mahusiano kuna kusaidiana, ila mm kufanywa zoba, cjui buzi, ATM kisa k*ma wakati wengine wanajilia bureee kiurahisi, mm sitaki, cjui wanaume mnaotongoza kwa kutumia pesa mnafanyaje aisee maana kweli mm kuhonga pesa nlioitolea jasho kindezi ndezi cwezi
kaka... sawa mie mwenyewe huwa sio mtu wa kuhonga mie huwa NATUNUKU.. ila sio mbaya... wew huyo dem ulimpenda kweli au ulikuwa unataka uguse utembee??
 
You guys 're so hilarious as the one who don't ask anything,she deserve absolutely nothing.
The quotation might not apply to both men and women but it may be a lesson to both of them..... Understand your Value kama upo real & the guy is real too, atakua anajua tu thaman yako na anafanya tu asubiri kuulizwa......
 
Hello guys

Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia denda tu kutoka kwa huyo demu

UGOMVI ULIPOANZIA
Aliniomba elf 5 kudai ana shida nayo, wakati papuchi hajawahi kunipa, kila nkimwambia aje gheto anadai yupo busy, nkamuuliza kama ananikomoa au VIPI, pia nikamwambia kuwa hajanipenda ndo maana ananiomba elf 5, akaongea kidogo, baada ya siku hiyo mpaka Leo ni wiki 3 sasa tumechuniana wakati alikuwa anapenda kuni-text kila siku.

Nakubali kwenye mahusiano kuna kusaidiana, ila mm kufanywa zoba, cjui buzi, ATM kisa k*ma wakati wengine wanajilia bureee kiurahisi, mm sitaki, cjui wanaume mnaotongoza kwa kutumia pesa mnafanyaje aisee maana kweli mm kuhonga pesa nlioitolea jasho kindezi ndezi cwezi
Hiyo 5000 wengne ni hela ya vocha kwa siku
 
Ahaahaaa no money NO Honey kijana..but hongera kwa kwa kuthamini pesa yako hao ndiyo dawa yaoo akitaka pesa aifuate ghetto dadeki..
 
Back
Top Bottom