okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
- Thread starter
- #101
Wala hatuwaoni hivyo. Sasa elfu 5 mno nikuone zoba??
Ningempa hiyo elf 5, huenda ungefuatia mzinga mwingine ulio makubwa zaidi, hlf mbaya zaidi utakuta hiyo hela angeenda kuila na mjanja mwingine ambae hamuombi hata senti, means huyo mdada angeenda kumpa hela mwanaume anaemla papuchi na tigo kiulaini tena buureeee (I've been there, done that) Mzigua90