Tumegundua tatizo. Hatukumpa Mbowe Sera. Kesho sasa kuna mambo ndio atazungumza

Tumegundua tatizo. Hatukumpa Mbowe Sera. Kesho sasa kuna mambo ndio atazungumza

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Tumekuja shtuka mwenyekiti kila akihojiwa anaelezea jinsi ambavyo amemsaidia Lissu. Kila akihojiwa anaeleza amefanya mangapi kwa Lissu.

Na anaeleza ametoka wapi na Chama. Sera zake kuu ni

1. Kukichangia Chama
2. Kumsaidia Lissu.

Sasa hapa tumeshakubaliana. Kesho akaelezee Sera zake kwa wana CDM na pia wana CCM. Mbowe tunataka awe rais wa JMT anafaa sana. Sisi Ccm tumekubali na tunataka ashinde kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom