Ni kweli kabisa.Ukiwa na msimamo na ukajua unachokitaka huwezi kuyumbishwa au kua diverted kwenye jambo lingine,
Tafakari.
Kwa mtaji wa Simba na yanga CCM watatawala SANANi kweli kabisa.
Mbinu za Utawala wa Ghiriba za namna hiyo Mara nyingi zinatumika na Watawala kwenye nchi ambazo Raia wake wengi zaidi hawajaelimika, Wajinga na mbumbumbu. Na Watu Wasomi au Watu Wenye akili kubwa waliopo kwenye nchi hizo daima huwa wanahesabiwa kuwa ni 'Maadui wakubwa wa Utawala uliopo Madarakani.'
Propaganda huwa zipo kwenye radio na magazeti,, Kwa Sasa ni mitandao ya kijamiii.. vyombo hivi vya awali vya upashaji taarifa Tyr vilishamilikiwa na INNERCICLES au deepers of the state.. na hata wazeee Hawa wanajua wanachokifanya ila ni siri Yao. Huwez zusha jambo kama una followers wachache mtandaoni.. na hata Hawa wenye followers wengi kama comedians na musicians unaona wanapelekwa KOREA hii YOTE ni kuwamiliki wawe chino ya system.. Kwa kweli tz bado SANAKwani, nyie wenye akili kubwa mnashindwaje kutengeneza propaganda kubwa ya kuzima hizi zilizopo.? Nadhani ifikie mahali turudi na tujipange tena.

Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini Wanaharakati, Wasomi na/au Watu wenye akili kubwa hapa Tanzania wengi wao wamekuwa wakifa vifo vyenye utata? Umeshawahi kujiuliza swali hili na kulitafutia majibu yake sahihi???Kwani, nyie wenye akili kubwa mnashindwaje kutengeneza propaganda kubwa ya kuzima hizi zilizopo.? Nadhani ifikie mahali turudi na tujipange tena.