Tanzania ni hodari kwa propaganda.
Tumetoka juzi kwenye wimbi la maandamano ya wafanyabiashara. Tupo kwenye wimbi la watu kupotea, ghafla tunasikia mgogoro wa Yanga eti magoma ana kesi ya kuondoa uongozi wa Yanga kwa kuwa haupo kihalali.
Hii yote ni kuutoa umma wa Watanzania kwenye mambo ya msingi kwa taifa lao. Sasa tumehama kuwaza mambo ya msingi tupo kuwaza upuuzi. CCM wameitengeneza hiii ili upepo wa kisiasa uhamie kwenye mpira.