Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

Nilikuwa Moshi juzi kati, yaani nilizani Niko dar , jua ni Kali sana
 
Inaonekana una msongo wa mawazo.
 
Harafu kuna madiwani uchwara huko Rombo wanataka Half mile strip irudishwe halmashauri ili wananchi waingie huko na kuharibu mazingira bila kujua ilipelekwa kuwa chini ya Tanapa kwa Tangazo la serikali baada ya kubainika kuwa hali yauharibifu wa mazingirailikuwa kubwa sana
 
Viongozi wa Sasa hawa wa hovyo hovyo kina Ali Hapi watafanya nini
 
Hata msitu wa Njoro ni balaaa,watu wamekata miti yote,eneo la Njoro ya Dobi kulikuwa na cehmchem nyingi sana mwaka1995 hadi 1998 lakini leo hakuna kitu watu wamejenga juu ya vyanzo vya maji,sasa hapo unatarajia nini kama si joto kuongezeka na uhaba wa maji?.wana kilimanjaro wasipoamka hali itakuwa mbaya sana kuliko tunavyofikiria.tuachane na siasa za maji taka eti hawa ni wananchi wetu wacheni waingie forest wakate kuni
 
Watu wa Kilimanjaro tembeeni muone, joto lipo nchi nzima kwa sababu ya kutokuwepo kwa mvua za vuli. Msipende kujihesabia sana haki mbuzi nyie
 
Kuna nchi nyingi ziko jangwani ila zina maji ya kutosha miaka yote.
 
Kwa vile mlishupaza shingo katika kufyeka misitu sasa ngoja jua liwagonge mpaka akili zikae sawa
 
Unazungumzia Moshhi ipi? Hivi katika mikoa yote kuna mkoa umepanda miti kama kilimanjaro?
Mzee Mengi RIP aliongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa kilimanjaro kupanda miti kuanzia juu kwenye mmiteremko ya mlima Kilimanjaro na kupanda miti zaidi ya milioni 5 kila mwaka.
Ukipita pale chuo cha polisi barabara ya kuelekea kcmc utakachokiona ndio kilichofanyika kwenye vijiji vingi vya mkoa wa kilimanjaro na wilaya zake zote.
Kile unachosema ni uharibifu wa mazingira sio kweli, ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo yamepelekea sehemu kubwa ya bara la afrika kuwa na joto kali.
 
Unataka tuwazuie ili mkoa urudi Chadema, hatutafanya kosa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…