connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Maandamano mapya ni lini?1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Wewe unaangalia Kenya. Wewe hujioni? Hapa huoni kuwa panafukuta? Njaa ikizidi hamna wa kumsimamisha1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Nyinyi mtaandamana mitandaoni, tu mtaanzia, barabara ya titwa, na ` kueelekea mitaa fecibuku na Insta, na kumalizia maandamano viwanja vya JFWewe unaangalia Kenya. Wewe hujioni? Hapa huoni kuwa panafukuta? Njaa ikizidi hamna wa kumsimamisha
JumanneMaandamano mapya ni lini?
Sisi ni MABOLIZOZO hakuna kitu tutafanya zaidi ya uKEYBOARD WARRIOR... ma tukianza tu. Tunagawanywa kwa kauli ya kulinda amani mpaka kwa viongozi wa dini watatumika, hapo tunapungua, vikiokotwa viroba kadhaa vya miili tunapungua tena, kisha tunaletewa skendo DIAMOND ana mimba ya P. Diddy, hapo kwisha habari yetu... 😂🤣Wewe unaangalia Kenya. Wewe hujioni? Hapa huoni kuwa panafukuta? Njaa ikizidi hamna wa kumsimamisha
Bado njaa haijakolea. Sasa hivi una milo miwili au mmoja. Itafika hakuna mlo hata mmoja. Mwanao na mke wamekaa wanamuangalia hapo wewe mwenyewe wala hutaamrisha utaamka mwenyewe kwenda mtaani hata risasi huwezi kuisikia. Njaa bado kwa sasa.Nyinyi mtaandamana mitandaoni, tu mtaanzia, barabara ya titwa, na ` kueelekea mitaa fecibuku na Insta, na kumalizia maandamano viwanja vya JF
Hamna wakimbizi, maandamano sio vita. Kwankenya hairp tokea1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
bandits wameshagawanyika hawana nguvu sana, hawana uelekeo, wamepoteza lengo hata wanachokidai sasa hakieleweki na hakiwezekani na hakuna kitu watafanya zaidi ya kukanyagana, kuumizana na kuuana wenyewe 🐒1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Uwoga wako ndiyo umasikini wako we kimbia wanakuja kumrithi mumeo.1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Hayatuhusu1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
hakuna kitu kama icho kitatokea.1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Yametangazwa na nani?; hao ni wahuni wako facebook tena nje ya nchi hasa wakina Miguna miguna ndio wanafanya hizo siasa. Maandamano ya awali ndio yalio ungwa mkono na raia wa Kenya, Ila now Raia wengi sana wanakubaliana na mabadiliko yanayo fanywa na Ruto.1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Gen Z inatumika tu sasa hivi, kinachoendelea hivi sasa ni siasa, ukabila very soon utaibuka.1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Wakenya wanajitambua ndiyo sababu Ruto aliwapongeza GenZ huku msiojitambua mnawaona wakorofi, hakuna atakae ikimbia Kenya labda mabwege toka Tanzania, acha kubeti na kusikiliza uchambuzi wa mpira unaowatia ujinga vijana wa Tanzania fuatilia kinachoendelea Kenya kupitia redio na Tv za Kenya, hakuna anayekamatwa wala kuteswa.1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
Ahahahahaha! Umeua Mkuu! Kwahiyo Kenya Wana Gen. Z huku Tanzania tuna Gen. Mitandao! Ahahahahaha!!!Nyinyi mtaandamana mitandaoni, tu mtaanzia, barabara ya titwa, na ` kueelekea mitaa fecibuku na Insta, na kumalizia maandamano viwanja vya JF