MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Wakae hukohuko kwao, si wanatuita waoga! Siko tayari kupokea wahalifu!1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan).
2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?