Mangi shangali JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 533 Reaction score 820 Jun 4, 2023 #1 Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva young africa Viva tz.. Daima mbele nyuma mwiko
Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva young africa Viva tz.. Daima mbele nyuma mwiko
Igwe Kingdom JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 317 Reaction score 590 Jun 4, 2023 #2 Mwiko nyuma
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jun 4, 2023 #3 Nyie si ndiyo kamati ya mapokezi ya wapinzani wa Simba,nendeni