Kwakweli kwangu labda waje saa mbili wakija saa tatu nimefunga mlango na nimepanda kitandani na taa zote nimezima watagonga wabonyee na wakija mchana hawanikuti nipo kazini na watoto kama hiyo siku hawataenda shule ndiyo watakaowapa ushirikiano ambao hawajui chochote!
Tusisumbuane tu