Tumejiandaa vipi na Sensa 2022? Njoo tuzungumze

Tumejiandaa vipi na Sensa 2022? Njoo tuzungumze

Kwakweli kwangu labda waje saa mbili wakija saa tatu nimefunga mlango na nimepanda kitandani na taa zote nimezima watagonga wabonyee na wakija mchana hawanikuti nipo kazini na watoto kama hiyo siku hawataenda shule ndiyo watakaowapa ushirikiano ambao hawajui chochote!
Tusisumbuane tu

Huwezi acha jukumu la pesa usubiri kuulizwa maswali ni changamoto sana
 
Back
Top Bottom