Root,
Ulichosema kinawezekana kabisa ingawaje The Boss hapo juu amehoji kwanini wazime!!!
Sasa wakati unauliza tutafanyaje, wewe mwanzilisha thread ningekushauri hamasisha watu waanze kutumia VPN!!!
Kwa wasiofahamu VPN, hii ni app ambayo ina-fake location!!
Ilivyo ni kwamba, hata TCRA wakisema wazime social media zote, watakachoweza kufanya ni ku-PIN location ya Tanzania, na kwahiyo ukiwa Tanzania hutaweza kupata FB, Twitter, JF and the like!!
So, unapotumia VPN, hiyo inakupa fursa ya kuficah your true location/IP Address, na badala yake utachagua isome IP Adress ya somewhere else, outside Tanzania!!
Kwa wake wapenda vya dezo, mnaweza kutumia Windscribe ambayo unaweza ku-downloand hapa! Kama ungependa kuwa na Premium VPN, ningeshauri ExpressVPN lakini sio mbaya ukitumia muda kidogo kutafuta coupon!