Tumejifunza na tumejifahamu DNA yetu ni ya popo

Tumejifunza na tumejifahamu DNA yetu ni ya popo

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,311
Reaction score
4,689
Ndugu zangu biblia katika 1samweli 9:9 na kuendelea mungu anajipambanua kwamba yeye ni mungu na kamwe Huwa hatembei njia moja na mtu muoga !

Ndio maana mungu alitaka kumuua mfalme hezekia kwa kosa la uoga maana alimuogopa sanekarebu ! Mungu alimchukia sauli kwa kumuogopa Goliath!

Mungu Yuko Radhi kumpa nguvu zake mwenye dhambi jasiri kuliko mtakatifu muoga! Nchi hii imemuangusha mungu kwa uoga uliopitiliza ! Na mungu atatupiga mapigo makuu!

Nchi inaharibiwa ,watu wanatekwa mchana na kupotezwa ! Katiba inavunjwa waziwazi, hakuna anaethubutu kukenua hata mdomo!

Hiki ni kizazi Cha popo Cha kupiga kelele juu ya Dari ya nyumba ! Mungu ameikasilikia nchi mpaka tutakapo katwa govi zetu kwa shoka Amen !
 
Back
Top Bottom