Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Kama kuna mtu aliandika au kutangaza kuwa RAIS wa JMT amekufa basi huyo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
On the other hand, we see tendency of throwing toys out of the pram.
 
Tusimlaumu sana Kigogo 2014 kwa kutulisha 'tango pori' kama watu wengi wanavyodai bali yeye ndiye amesababisha tupate taarifa rasmi.
Taarifa rasmi ipi hiyo? Nimependa sana jinsi taasisi ilivyo handle issue nzima..hawajampa attention aliyokuwa anaitaka..safi sana
 
MTU anayeongelea SANDUKU LA KURA kwa TANZANIA basi mtu huyo ni MPUMBAVU.
 
Tatizo ni pale inapofikiri unamjua Magufuli, wakati yeye mwenyewe hajijui.

Anaropoka kwa mujibu wa upande alioamkia siku hiyo.

Mtu kama hiyo usijipange kumtabiria atasema nini.
 
Kama Lissu Waliompiga Risasi Mpaka Leo Hawajakamatwa Basi Sioni Sababu Ya Sheria Kufanya Kazi Upande Mmoja.

Ata Kwa Lissu Kulikuwa Na Uwezekano Wa Kutokea Vita Kwani Hamkujua Ilo?
Lissu ndiyo nani? Una maanisha lile jamaa lenye sura na domo baya kama la huyu mbwa? Linalo tapa tapa Ubelgiji? Na ambaye hajui nini cha kufanya?
 
Wewe ni muhanga wa Vyeti feki, madawa ya kulevya au utumbuzi? Kuadabisha makundi yote hayo ndani ya miaka mitatu ni dhahiri lazima uta attract maadui..Magu kata mirija. Foward ever, backward never!
 
Unataka kusema wewe ume rithi mikoba ya sheikh yahaya

Ova
 
Nadhani linapokuja suala la Musiba na wenzake, hapo ndo unaanza kuhubiri kuwa vyombo vya habari vinapaswa kuwa censored..au freedom of speech na freedom of press ni selective na inahubiriwa pale unapowashwa kumtukana rais tu?? Naamini kuna mipaka ndani ya Freedom of speech ndomaana nimejizuia nisikutukane.
 
Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyo
 
Zalemda acha kutumia ufahamu wako mdogo wengi wa Tanzania wanampenda sana Rais Magufuli kwa moyo wa kweli. Pia Kumbuka kuwaTanzania siyo Rwanda wala Burundi, hii nchi imejengwa kwenye misingi ya haki na utu. Unachokiandika wewe ni ushauri mbaya kwa waziri mwenye dhamana na haufai kuzingatiwa.

Waache wasiojielewa waongee wapasuke kwa uongo na uzushi wao, ndiyo maana nilitubu kwa ajili ya wote wanaojielewa na wasiojielewa kama wewe unayeifananisha Tanzania na nchi ambavyo hatustahili kulinganishwa nayo. Bandiko lako hili ni tusi kwa waasisi wa taifa hili. Waasisi waliotujengea nchi yenye usawa na misingi ya utu na siyo vinginevyo.

Achana na waganga njaa kama Musiba tuiombee nchi yetu, tuwabeze na kuwapuuza wanaochukia maendeleo. Tuwambee viongozi wetu, tuimbee mipango ya taifa letu, tuache uchochozi maana huwezi kuwaziba watu milioni 50 midomo. Watasema watakufurahisha, watasema watakukasirisha, waache waseme, kwa ndimi zao ngumu na laini tunajivunza mengi kutoka kwao.

Mh. Rais tuko pamoja hata muda mfupi kabla ya bandiko hili nimetoka kukuombea tena kwa moyo wa dhati. Nimetoka kuliombea taifa kwangu mimi ndiyo silaha kuu.

Njia nzuri ya kupambana na asiyekupenda siyo kumdhuru bali kufanya kazi zaidi na kupata matokeo chanya ili azidi kukosa hoja ya kukupiga bali aendelee kuumia kwa kazi nzuri unayofanya.

ZALEMDA Tuchape kazi tuache uchochezi hii ni Tanzania siyo Rwanda wala Burundi.
 
Kwa taarifa yako hata katiba ya nchi wanaoijua ni wachache sana wenye uelewa wa mambo, hao wengine wasiojua ni lile kundi linaloswagwa kama ng'ombe wa mnadani.
Na wewe unaye ijua katiba una fanya nini? Ina maana wewe nawe huswagwi kama huyo ng'ombe wa mnadani? Mbona sote tuko kwenye meli moja?

Kwa jinsi unavyo jipa jipa ina onyesha dhahiri kuwa wewe ni masikini mkubwa sana wa akili. Huna unacho kifanya katika maisha yako zaidi ya kuburuzwa na fictive stories za kwenye social Media?

Huna wajibu mwingine wa kulijenga taifa lako? Angalia usije ukapoteza mda wako wa thamani kwa wenzako walio navyo!

Fatima Karume na Maria Sarungu wenzako wazazi wao walikwisha wawekea misingi ya maisha! Mwenzangu vipi nawe upo kwenye kundi hilo?
 
Ndani ya miaka minne kafanikiwa kuwatokomeza mapangoni mafisadi, wauza madawa na kutumbua wazembe, wawekezaji wanyonyaji na vyeti feki! Katika hiyo hali, lazima utavutia maadui wengi ndani na nje ya nchi..Mwl. Nyerere pia pamoja na ku apply 'coercive diplomacy' na ingawa hakukuwa na chama pinzani bado jamaa hawakumpenda na wakataka kumpindua (sio mara moja wa mara mbili)...
Magu piga kazi, forward ever, backward never!
 
Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyo
Fahari ya Lissu ni kuongea! Nahisi akisoma hiyo post yako anaweza kuzimia kwa anxiety. Eti TL akae kimya miaka 16..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…