herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Kama kuna mtu aliandika au kutangaza kuwa RAIS wa JMT amekufa basi huyo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ULE MOSHI SIJUI ULITOKEA WAPI?Ruangwa waliihitimisha.
Taarifa rasmi ipi hiyo? Nimependa sana jinsi taasisi ilivyo handle issue nzima..hawajampa attention aliyokuwa anaitaka..safi sanaTusimlaumu sana Kigogo 2014 kwa kutulisha 'tango pori' kama watu wengi wanavyodai bali yeye ndiye amesababisha tupate taarifa rasmi.
MTU anayeongelea SANDUKU LA KURA kwa TANZANIA basi mtu huyo ni MPUMBAVU.Waliokuwa wanahangaika na huo uzushi ndo hao wamerudi tena kivingine. Hizi tathimini zenu za social media ni sawa na wale Motivation speakers,subilini kwenye sanduku la kura mjue kama watz wanampenda Magufuli ama la otherwise ni mbwembwe zenu na hekaya za kila siku
Tatizo ni pale inapofikiri unamjua Magufuli, wakati yeye mwenyewe hajijui.Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.
Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.
Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.
Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.
Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
Gen.Mwamunyange naye alizushiwa kifo..kosalake hapo ni lipi? Naamini hata wewe kuna walimwengu wengi wanatamani ugonge ndoo teke..Ukishaanza kuzushiwa kifo,Inabidi kujitafakari sana.
Amrudie Mungu
Lissu ndiyo nani? Una maanisha lile jamaa lenye sura na domo baya kama la huyu mbwa? Linalo tapa tapa Ubelgiji? Na ambaye hajui nini cha kufanya?Kama Lissu Waliompiga Risasi Mpaka Leo Hawajakamatwa Basi Sioni Sababu Ya Sheria Kufanya Kazi Upande Mmoja.
Ata Kwa Lissu Kulikuwa Na Uwezekano Wa Kutokea Vita Kwani Hamkujua Ilo?
Kuwa specific kuwa hiyo ni hukohuko Tandale kwa mfuga paka....Ukitaka fahamu FAMILIA yako na MAJIRANI wana mtizamo gani juu yakoo....."....."
Hivi zipogo 'steel' waya za plastiki ehhUkishachafuka ni ngumu kutakakata hata kwa steel wire ya chuma.Fanya mema laki moja moja baya uharibu mazuri yote
Wewe ni muhanga wa Vyeti feki, madawa ya kulevya au utumbuzi? Kuadabisha makundi yote hayo ndani ya miaka mitatu ni dhahiri lazima uta attract maadui..Magu kata mirija. Foward ever, backward never!Mr Plight with his young Brother, the conductor think that their Dad shall never ever fade.
I recollect what the late Mwl spoke over Idiotism, "it's better for someone else to become bankrupted than to be without wits ".
The two are without wits, worst rumours rumoured over his fate and civilians became exceedingly glad.
The zero brain holders, are herein to applaud everything,be good or bad.
We shouldn't blame them, for it's their role, without carrying out such a task their children will starve.
The man of God came all the way to the country bear shoes as a sign to capture the pertaining dark powers whose goals were to cause untold harms.
I'm pretty sure, 85% wish him evil things to prevail on.
The day is up, in which the two will be easily trapped like a rat in a glue bait ,and it's gonna be nowhere to run for them.
As we're all blindfolded of our tomorrows, they know theirs.
Acha kupiga ramli lala ww,hizi ngonjera alikufa nazo Shekhe Yahya.
Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyoMwaka 2004 nilioeshwa kuwa John Pombe Magufuli atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Rais Kikwete kumaliza muda wake 2015. Hili nililijua toka wakati huo. Na niliwambia baadhi ya watu kadhaa japo nilijua Magufuli atakuwa na vita kubwa. Mwaka 2011 niliwambia pia watu atakae kuwa Rais ajae ni Magufuli japo watu wengi wa Tanzania walidhani ni Lowasa au Membe. Katika huo mwaka nilifanikiwa kumuona Magufuli umbali wa mita chache japo sikuweza ongea nae alipanda gari akaondoka nilitamani kumwambia yeye ndo atakae kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Japo Rais Magufuli anadhani alipata urais kwa bahati mbaya kwa kujaribu la hasha nataka nimuhakikishie kwamba, alipata urais kwa kuandaliwa na Mungu. Asijilaumu na wala asiseme seme haya maneno kuwa alijaribu. Mungu alishamuandaa. Anachopaswa kujua ni kuwa atakumbana na upinzani mkubwa hicho ni kitu cha kawaida. Watu wote waliokuwa chaguo la Mungu soma Biblia au mtazame Mtume katika uislamu. Wakati wa kampeni 2015 nilikuwa katika moja ya group iliyokuwa ikimsapoti Magufuli wengi waliogopa upepo wa Lowasa, niliwambia Magufuli atashinda tu. Walishangaa!
Sasa niseme na Kumwambia Rais yote mabaya wanayomtabilia, hakuna hata moja litakalo simama au kufanikiwa. Asiwe na wasiwasi Mungu yupo na yeye, na watanzania wema na wazalendo wako nae. Kuumwa ni hali ya kawaida ya binadamu, na kuumwa si kufa. Hakuna mahala Maandiko matakatifu yanasema mtaumwa na kufa. Maandiko yanasema tutakufa tutarudi mavumbini. Hivyo mtu aweza kufa hakiwa haumwi akafa ghafla tu. Rais wetu Mungu kakuandaa na utashinda uchaguzi 2020 usiwe na wasi na utaendelea kuwepo hadi utapo itimisha muda ambao Mungu anapenda utuongoze.
Onyo kwa wanao mtakia Rais mabaya mkizidi sana Mungu atawasambaratisha vibaya. Nakuonya Mhe. Zito, wewe ni mfitini na msaliti wa hii nchi upo kwa maslahi yako. Usidhani unaogopwa na unauwezo wa kusema lolote ukizidi Mungu ataufunga huo mdomo. Hivyo tulia fanya siasa nzuri na kuwa mzalendo. Mheshimiwa Membe wewe unapiga ngoma katika maji pole sana. Wakati wako umepita huna lolote hutokaa kuwa Rais wa hii nchi kamwe. Nimekwambia na utaona. Mungu anakujua na anajua nia yako hovu. Tundu Lissu, wewe unadhani kumsema Rais vibaya na nchi yako utafanikiwa haita tokea kamwe. Unawafanya wazungu miungu yako. Ipo siku watakuchoka na watakuacha kama ulivyo. Mzungu anachoangalia ni maslahi yake akiona hajapata au kapata atakutelekeza. Kwanza wanapenda mtu asiye msaliti wa nchi yake. Kwani hii ufanya wakuheshimu. Hivyo wewe wanakusanifu wanakutumia kupata wanachotafuta. Ila hawatoweza kukipata Tanzania hii inalindwa na Mungu ni nchi ya kipekee na watanzania wanaiombea. Acha hiyo tabia. Utapotea katika ulimwengu wa siasa na utajuta maishani mwako.
Tarehe 19 na tarehe 20 October 2019 ni siku ambazo wengi wa watanzania hatutakaa tukazisahau maishani mwao.
Tulivunjwa miyoyo,tulikosa matumaini na wengine walitamani kuikimbia nchi aidha kwa kukosa matumaini au kwa kuhofia usalama wao.
Rais anapokuwa amekufa mazingira ya kutatanisha hali hiyo huleta vita ndani ya nchi.Mambo haya yalitokea nchini Rwanda na Burundi ,na nchi nyengine.
Watanzania wengi walikua wanafuatilia ziara ya Rais. Walikuwa wakifurahia sana gafla wanaambiwa na wapinzani eti amekufa tena wapinzani hao wanafurahia kifo hicho.kwa maana nyengine walikuwa wamepanga kifo chicho.
Niseme kuwa Mungu amewatuliza watazania vinginevo yaliyotokea Burundi na Rwanda yangeweza kutokea baada ya kuona watu wanashangilia mabaya juu ya rais.
Wako watu walianzisha au kushangilia mabaya hayo.wanajukikana na wengine wametajwa Leo na Musiba.yako madhara makubwa wamesababisha kutoka na uzushi huo.
Vyombo vya Dora viwasake kote waliko wawekwe ndani mpaka rais atakapotoka madarakani.Hii itakuwa afya kwa taifa letu la Leo na la kesho kwa sababu watu hawa wanavuruga nchi.
Najua wakikamatwa mataifa ya nje yatapiga makelele kama kawaida yao.lakini potelea mbali.kwanza in usalama kwao.
Waziri mwenye dhamana chukua hatua LA sivyo watanzania wengi watawaza mengi juu yako!!
Na wewe unaye ijua katiba una fanya nini? Ina maana wewe nawe huswagwi kama huyo ng'ombe wa mnadani? Mbona sote tuko kwenye meli moja?Kwa taarifa yako hata katiba ya nchi wanaoijua ni wachache sana wenye uelewa wa mambo, hao wengine wasiojua ni lile kundi linaloswagwa kama ng'ombe wa mnadani.
Kifo kizuri kwako na familia yako kenge. Na wewe utakuwa pia. Tena haraka kuliko unavyo fikiria.Kifo ni kifo tu hakuna msamiati mwingine hata ipindishe vipi vyote humanisha kifo tu.
Kifo kizuri kwa TL kwa JPM kibaya??
Fahari ya Lissu ni kuongea! Nahisi akisoma hiyo post yako anaweza kuzimia kwa anxiety. Eti TL akae kimya miaka 16..Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyo