Tumejikita kwenye SIASA lakini Uchumi tumemwachia Kafulila peke yake, tunaweza kuja kushtuka tukiwa Tumeshachelewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake

Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa

Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi

Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena

Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina

Mlale Unono 😀
 
Paka la bar sababu yupo ccm.
IMG_0502.jpeg
 
acha upotoshaji gentleman 🐒
 
Mpaka hapo mtakapo ounguza siasa na kuondoa kwenye uchumi ndipo mwanga utaonekana
 
acha upotoshaji gentleman 🐒
Ungekuwepo enzi za Mzee Makassy na Maquis Du Zaire wanavyokatika viuno wala usingewalaumu Kagame na Museven kujitwalia Congo

Makassy, Kagame na Museven tulikuwa nao hapa 😂😂
 
Kuna watu wanajua ccm mpaka watajinyea bila NSSF umri wa kustaafu ulikuwa sio kigezo.

IMG_0612.jpeg
 
Hivi kumbe Kafulila nae ni mchumi wa kutumainiwa nchii hii? Aisee
 
Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake

Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa

Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi

Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena

Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina

Mlale Unono 😀
Huyo tumbili hakuna anayempa time huku kila siku na hadithi zake mpya haeleweki
 
Back
Top Bottom