johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake
Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa
Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi
Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena
Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina
Mlale Unono 😀