johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Paka la bar sababu yupo ccm.Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake
Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa
Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi
Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena
Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina
Mlale Unono π
acha upotoshaji gentleman πBungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake
Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa
Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi
Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena
Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina
Mlale Unono π
Mpaka hapo mtakapo ounguza siasa na kuondoa kwenye uchumi ndipo mwanga utaonekanaBungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake
Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe wamezimika Kabisa
Kwa Sasa Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na David Kafulila muumini wa Sekta binafsi
Mungu wa mbinguni atufumbue macho ya Rohoni tupate kuona tena
Sisi Wenyewe wazawa Uchumi Wetu ni Fremu za kuuzia Bidhaa kutoka Uchina
Mlale Unono π
Ungekuwepo enzi za Mzee Makassy na Maquis Du Zaire wanavyokatika viuno wala usingewalaumu Kagame na Museven kujitwalia Congoacha upotoshaji gentleman π
Bunge lijalo ni la akina Steve Nyerere na Dr Mwijaku π2025 watanzania tupeleke watu wamaana bungeni lasihivyo huu ni uozo unaoendelea bungeni
Huyo tumbili hakuna anayempa time huku kila siku na hadithi zake mpya haelewekiBungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake