imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo nisubiri nife ndio ndio nichanjweMbona bado haujafa? Mungu yupo na anaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo nisubiri nife ndio ndio nichanjweMbona bado haujafa? Mungu yupo na anaona
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa sasa tunaanza kutengeneza hofu ya Corona ambayo haikuwepo. Muda mrefu sasa hatujapata tena taarifa kuwa watu wanakufa kwa Corona.
Labda sababu Dr. Magufuli alifariki.na watu wamesahau tena habari za vifo vyote kuhusishwa na Corona. Leo hii yanatoka matangazo ya kuogofya watu n.k
Lengo ni nini? Tunahitaji pesa kupitia ugonjwa wa Corona. Hili lipo wazi kama ambavyo Uganda imeonekana Serikali ikipambana kuonesha Corona ipo hata kuzika Majeneza matupu. Huu ni mchezo wa kisiasa.
Tumeshaona hata zile mbwembwe za Mbowe kuvaa cloves kama dereva wa bodaboda hazipo siku hizi. Ameacha kuvaa barakoa. Anatembea ana kutana na wananchi kwa uhuru kabisa.
Ni nini kinachoendelea nchini? Corona inawezekana ikawepo kwa kiwango kidogo tu but naamini sasa itazidishwa kwa makusudi ili tuweze kidhi vigezo vya kupata pesa ambazo watu wachache watazipiga kama kawaida.
Huu ni uhuni ambao Watanzania tuukatae. Kama itaombwa misaada isiwe sababu ya Corona. Hizo pesa wanalipa maskini kwa kukatwa kodi za hovyo sana huku wanasiasa wakijitengenezea zaidi namna ya kula pesa za maskini.
Tutaanza kuona uhuni mwingi ukiandaliwa. Najua serikali yetu inataka pesa na inajua namna ya kula vizuri na wapinzani... Wananchi tutabaki wenyewe siku zijazo.
Wakati anaingia mwendazake deni la taifa lilikuwa around 50 .Mpaka anaondoka lilikuwa around 70.Hii ni alama wazi kuwa mama ndiyo mkopaji wakati mwendazake hakuwahi kukopa.Tuache unafiki.Mabeberu na benki zao wanataka kutukopesha ili watumiliki kwa madeni. Vikaragosi vyao nchini wanachotaka ni hela ziingie kusudi wapige. Walishajipanga awali kutoa huduma hewa kwenye lockdowns jpm akawakata maini.
Corona ni njama ya ubeberu wa kimataifa kutuibia na kuturudisha nyuma. Naona mama samia wajanja wanamchezesha game anasaliti msimamo wa kizalendo kukabiliana na wanyonyaji.