Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabasi yanapita yakiwa tupu sasa abiria wanahoji ina maana walinzi hawaoni huu umati kwa nini wasisimamishe mabasi abiria wapandw?Mnawanea tu walinzi wa kituo, sio kazi yao hiyo.
Au kila mnyonge na mnyonge wake, hapo akija hata mkuu wa wilaya kuwasikiliza hiyo kero yenu kila mmoja ataufyata, mkitembea na biti la mama kaupiga mwingi..
Hapo zuieni gari moja tupu, au zuieni kabisa gari zinazoingia tupu na kuondoka tupu bila ya kubeba abiria.
Wenzenu wanajenga ili wasikae kwenye foleni na ninyi, watembee kwenye barabara za mwendokasi kuwahi waendakoMwendokasi mimi binafsi naona ni ubabaishaji, pesa inayotumika kujenga hizi barabara mpya za Tegeta na nyinginezo zingekutumika kununua mabasi ya kutosha kufeed hiyo morogoro road na kilwa road.. then baadae ndo waendelee kujenga...
HUu mradi kama umejifia tu hakuna namna tena, madereva hawana maadili na utu kabisa.
Mradi ulishafeli kitamboKwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
Hizi ni mentality za uchoyo na ubinafsi kabisa mkuu wangu..Wenzenu wanajenga ili wasikae kwenye foleni na ninyi, watembee kwenye barabara za mwendokasi kuwahi waendako
Ndio akili za viongozi wetu....Hizi ni mentality za uchoyo na ubinafsi kabisa mkuu wangu..
Sasa walinzi wasimamishe magari wao kama nani?Mabasi yanapita yakiwa tupu sasa abiria wanahoji ina maana walinzi hawaoni huu umati kwa nini wasisimamishe mabasi abiria wapandw?
Daah mnawaonea bure kabisa walinzi, mnawapa changamoto kubwa sana aisee.Mabasi yanapita yakiwa tupu sasa abiria wanahoji ina maana walinzi hawaoni huu umati kwa nini wasisimamishe mabasi abiria wapandw?
We jamaa mtata kama username yako 😂Daah mnawaonea bure kabisa walinzi, mnawapa changamoto kubwa sana aisee.
Wao kazi yao ni kuhakikisha ninyi mnapanda mabasi au usalama wenu muwapo hapo kituoni?? Route za mabasi anazijulia wapi? Yeye ndo anapanga basi hili liende huku na hili likapakie pale??
Mlinzi ndo mmepa hela zenu, ndie kawapa tickets??
Mnamuonea tu, si ajabu hata hajui hilo tatizo akaliripoti wapi...
Kaba hao wakatisha tiketi, zuieni gari tupu la sivyo mtaishia kutukana kama kawaida yetu wabongo.
Ombeni mitano Tena!Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
Hivi yule muwekezaji wa kiarabu yuko wapi, si walisema wanampa hiyo huduma aifacilitateKwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
Hadi 2030 tukiona kulilichomsibu JPMHivi yule muwekezaji wa kiarabu yuko wapi, si walisema wanampa hiyo huduma aifacilitate