Tumekaa zaidi saa moja tunasubiri kwenye kituo cha mwendokasi Msimbazi

Huo usafiri ni wa kitumwa
Abiria wote wanawaona kama
Manyani na mangombe tu!
Vuongozi wala hawajali kabisa

Ova
 
Sasa kama hicho kopande kidogo tu(Gerezani/Kivukoni-Mbezi/Kimara/Kibaha) kimewashinda, kwa nini wanahangaika na vipande vingine? Unajua kuna wakati hii nchi yetu initially huruma sana, ukipita Sam Nujoma wanafukua na kujenga, Bagamoyo wanafukua, Nyerere wanafukua na kujenga.

What's the point kama hicho kidogo tu kimewashinda, wanataka nini tena kuongeza miundombinu ambayo kimsingi hawawezi kuisimamia?
 
Jibu lipo kwenye comment #7
👇👇👇

Wenzenu wanajenga ili wasikae kwenye foleni na ninyi, watembee kwenye barabara za mwendokasi kuwahi waendako
 
Muda unaosubiria hizo gari aliepanda daladala ashafika uendako
 
Back
Top Bottom