Wenzenu wanajenga ili wasikae kwenye foleni na ninyi, watembee kwenye barabara za mwendokasi kuwahi waendako
Kero ya kwenye mwendokasi ndio inakukumbusha kuwa na usafiri binafsiHuo usafiri ni wa kitumwa
Abiria wote wanawaona kama
Manyani na mangombe tu!
Vuongozi wala hawajali kabisa
Ova
Jibu lipo kwenye comment #7Sasa kama hicho kopande kidogo tu(Gerezani/Kivukoni-Mbezi/Kimara/Kibaha) kimewashinda, kwa nini wanahangaika na vipande vingine? Unajua kuna wakati hii nchi yetu initially huruma sana, ukipita Sam Nujoma wanafukua na kujenga, Bagamoyo wanafukua, Nyerere wanafukua na kujenga.
What's the point kama hicho kidogo tu kimewashinda, wanataka nini tena kuongeza miundombinu ambayo kimsingi hawawezi kuisimamia?