Tumekalishwa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa kumpisha IGP

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi.

Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu.

Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
 
Hii nchi ni ya kipuuzi sana.yaani mkuu wa polis,jeshi,teeth,uhamiaji na fire wote wanasimamisha watu barabarani kuwapisha wapite zaidi dk 45.Bado rais na mawaziri.serikali hawataki kuzipanua barabara lakini wanataka tuwapishe kuwahi ofisini wakati huwa wanawahi kufanya ufisadi tu
 
Hiyo bagamoyo road ni jipu! Sio STK STL SU sijui usalama, ni kero mpaka DFPA wanataka ukae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] barabara ni ndogo sana na wanaendesha magari bila tahadhari, ajali mara kwa mara, achilia mbali magari ya Jeshi na bado wanajeshi na Private car zao! Yani ile barabara ni mtihani kila mtu ni usalama wa taifa na kila mtu ana kazi nyeti na ya hatari

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Huu upuuzi zamani haukuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.

Kawaida sana hata kwa IGP aliyepita...
 
Huu upuuzi zamani haukuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Haukuwepo zamani ipi?
 
Watumiage boti basi maana imekuwa kero na uchumi unasimama
 
Hiyo bagamoyo road ni jipu! Sio STK STL SU sijui usalama, ni kero mpaka DFPA wanataka ukae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] barabara ni ndogo sana na wanaendesha magari bila tahadhari, ajali mara kwa mara, achilia mbali magari ya Jeshi na bado wanajeshi na Private car zao! Yani ile barabara ni mtihani kila mtu ni usalama wa taifa na kila mtu ana kazi nyeti na ya hatari

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app

Bongo hadi vichaa ni usalama.
 
Na middle class wa kitanzania wanakimbilia JF kulalama humu!,push back guy's, kisheria ni President, vice president, PM tu ndio wanatakiwa kuwa na blue lights, wengine kama wana haraka wangeondoka mapema, ndani ya Cairo road (zambia)motorcade ya president H&H inapita kimya kimya, loooo hata kwenye traffic light msafara umesimama!,kumbe haya Tanzania inawezekana
 
Blue lights hadi bajaji wanaweka. Nchi ya kusadikika hii.
 
Hiyo bagamoyo road ni jipu! Sio STK STL SU sijui usalama, ni kero mpaka DFPA wanataka ukae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] barabara ni ndogo sana na wanaendesha magari bila tahadhari, ajali mara kwa mara, achilia mbali magari ya Jeshi na bado wanajeshi na Private car zao! Yani ile barabara ni mtihani kila mtu ni usalama wa taifa na kila mtu ana kazi nyeti na ya hatari

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom