Huu upuuzi zamani haukuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Haukuwepo zamani ipi?Huu upuuzi zamani haukuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Watumiage boti basi maana imekuwa kero na uchumi unasimamaHuu upuuzi zamani haukuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi. Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu. Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Hiyo bagamoyo road ni jipu! Sio STK STL SU sijui usalama, ni kero mpaka DFPA wanataka ukae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] barabara ni ndogo sana na wanaendesha magari bila tahadhari, ajali mara kwa mara, achilia mbali magari ya Jeshi na bado wanajeshi na Private car zao! Yani ile barabara ni mtihani kila mtu ni usalama wa taifa na kila mtu ana kazi nyeti na ya hatari
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Na middle class wa kitanzania wanakimbilia JF kulalama humu!,push back guy's, kisheria ni President, vice president, PM tu ndio wanatakiwa kuwa na blue lights, wengine kama wana haraka wangeondoka mapema, ndani ya Cairo road (zambia)motorcade ya president H&H inapita kimya kimya, loooo hata kwenye traffic light msafara umesimama!,kumbe haya Tanzania inawezekana
Sio poa! Ni upumbavu mtupuBongo hadi vichaa ni usalama.
It's craze mkuu, ndani ya iyovi pass middle of the night, unaona blue lights unafikiria ni police kumbe bloody Fuso limepaki!,guy's Blue lights ni kwa POLICE tu, tuamke watanzaniaBlue lights hadi bajaji wanaweka. Nchi ya kusadikika hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo bagamoyo road ni jipu! Sio STK STL SU sijui usalama, ni kero mpaka DFPA wanataka ukae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] barabara ni ndogo sana na wanaendesha magari bila tahadhari, ajali mara kwa mara, achilia mbali magari ya Jeshi na bado wanajeshi na Private car zao! Yani ile barabara ni mtihani kila mtu ni usalama wa taifa na kila mtu ana kazi nyeti na ya hatari
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jamani khaaaahBagamoyo road mnaonewa sana, enzi zile za zama za giza, asubuhi ungeweza kukutana na V8 mbili tinted zimewasha hazard hazikai foleni eti zinaenda kumsalimia mzazi (mama mwenye kitoto kichanga)
Unamaana ile meli mpya ya mpigaji Magufuli ambayo ilishindwa kufika Bagamoyo!Watumiage boti basi maana imekuwa kero na uchumi unasimama