Tumekataa kupelekwa mchakamchaka, yafuatayo lazima tukutane nayo!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita!

Mgao mkali wa umeme!

Maisha kuwa ghali!

Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha!

Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa

Hasira za viongozi kuwa juu baada ya mambo kuwa magumu, hatataka kusemwa semwa!

Na kadha wa kadha!

Yajayo yanasikitisha!
 
Yote matokeo ya utendaji mbovu,ubinafsi,rushwa,uvivu na mazoea mabaya ya kiafrika zaidi kitanzania 🥱
 
Mtaherewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…