Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huyu atakuwa mwezi mchanga kwa vyovyote, tumetoka tulikotoka amekunywa wine kidogo mimi nimekula vikali, tumeingia chumbani kakaa kwenye sofa ananiangali tu halafu anaangua kicheko huku kafika macho kwa viganja mimi nipo kitandani tu namwangalia simmalizi, pombe yote imekata nahisi nimedate chizi. Kila nikitaka kusinzia anaangua kicheko nikimwangilia anaficha uso, naogopa hata kumsogelea