Tumekesha tunaangaliana

Tumekesha tunaangaliana

aisee ndo hivo wengine hawalewi
 
Pengie hakuwa tayari ku duu, ameamua kuku enjoy kwa jinsi hiyo
 
Huyu atakuwa mwezi mchanga kwa vyovyote, tumetoka tulikotoka amekunywa wine kidogo mimi nimekula vikali, tumeingia chumbani kakaa kwenye sofa ananiangali tu halafu anaangua kicheko huku kafika macho kwa viganja mimi nipo kitandani tu namwangalia simmalizi, pombe yote imekata nahisi nimedate chizi. Kila nikitaka kusinzia anaangua kicheko nikimwangilia anaficha uso, naogopa hata kumsogelea

Naam? Umeniita hun?
 
mshana jr hakika wewe ni shujaa wangu wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Huyu atakuwa mwezi mchanga kwa vyovyote, tumetoka tulikotoka amekunywa wine kidogo mimi nimekula vikali, tumeingia chumbani kakaa kwenye sofa ananiangali tu halafu anaangua kicheko huku kafika macho kwa viganja mimi nipo kitandani tu namwangalia simmalizi, pombe yote imekata nahisi nimedate chizi. Kila nikitaka kusinzia anaangua kicheko nikimwangilia anaficha uso, naogopa hata kumsogelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ni mwendo wa kutembelea makaburi tuu
 
Sbb alijua huwezi kumbaka au kumlazimisha ndo maana ameamua kukufanyia hivyo, kinyume na hapo atakuwa anamatatizo ya kisaikkolojia
[emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom