tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,610
Vituko vyetu kwa jinsi tunavyoichukulia Corona vimefika hadi Abuja-Nigeria..video
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheka kwa majonziVituko vyetu kwa jinsi tunavyoichukulia Corona vimefika hadi Abuja-Nigeria..videoView attachment 1455556
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Watanzania tunatukanwa kwa kutumainia maombi kuondoa mapepo, juisi ya madagascar, na nyungu/kujifukiza kutibia wakati huo huo hakuna taarifa ya watu waliopona kwa tiba hizo.
Mbona nashindwa kuipakua hiyo videoVituko vyetu kwa jinsi tunavyoichukulia Corona vimefika hadi Abuja-Nigeria..videoView attachment 1455556
Sent using Jamii Forums mobile app
Saiv mmekulaa hela mpakaa ya JUA ndo maana mvua zinanyeshaaa KILA SIKUU mtegemea tuishijeeeMAGUFULI raisi wa Africa nani makini haijawaitokea
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA