Tumekosea wapi Man U

Baba_Swalehe

Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
8
Reaction score
9
Man u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani
Tokaea Sir.Alex kuondoka man u imepata msuko msuko mkubwa ilikabiziwa kwa moyes lakn aliishindwa akapatiwa Van gaal ambaye alifanikiwa kidogo na kutwa FA cup ikapatishwa tena kwa jose mourinho kocha aliyepata mafanikio katka msimu wa kwanza lakn msimu wake wa pili unasua sua sana
TUMEKOSEA WAPI kama wachezaji tunao wakimataifaaa wazuri mno kina sanchez,pogba,lukaku,maticDe gea lakini licha ya kuwa na uwanja mpana wa kikosi lakin bado tynacheza hovyo hapa ndo na baki kujiuliza TUMEKOSEA WAPI?
 
Tumekosea kumpa jose nafasi ya kuwa kocha Wetu Tukijua wazi tunawachezaji wanaoweza kucheza aina flani ya mpira tu (attacking), Tulikosea kutopata director of football maana asingesajili ujinga alipsajili Mou... Pia tunakosea kumuacha Mou aendelee kuwa kocha huku tukiacha icardi aendelee kuwepo inter
 
Hakuna ilipokosea Man u ni hali ya mpito ambayo hutokea kwa klabu nyingi. Josee ni kocha mzuri na anastaili kuwepo MANU ila kundi la wachezaji tulionao wanavipaji ila wengi ni wavulana (boys) hawajui wafanyaje wapate matokeo. Kocha anafanya kila analoweza ila wachezaji wanahitaji muda ili wafanye vizuri. Kwasasa hakuna kocha atakae kuja MAN U akakupa kama alichokua anafanya Furguson.
 
😁😁😁😁United mnamtafuta mchawi,mchawi wenu morinho tu
 
3-1 hamna kocha mnamsimamizi wa mazoezi, game Liverpool washakubali badala ya kucheza unalinda,nadhani kocha wenu amewahi kuwa sungusungu miaka ya nyuma
 
Tatizo morinho Wala si kingine ,mbinu za kizamani na kutegemea bahati ndo imukoe
 
Man u alipewa odd 6 draw 4 na Liver moja na pointi fulani, alaf mtu unampa man u?
 
Man U inamagalasa wengi, inahitaji ipate wachezaji ambao ni wapya..hamuoni Gadio wa Man city ameibadilisha timu, asilimia 75 ya wachezaji amewasajili mwenyewe....Ni mtazamo tu sio ugomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…